🍦🍦🍯CARAMEL ICE CREAM

NAMNA YA KUANDAA CARAMEL ICE CREAM Viungo kwa Caramel Sauce 🍬 Sukari – 1 kikombe 💧 Maji – 1/4 kikombe 🍶 Cream nzito (heavy cream) – 3/4 kikombe 🧈 Siagi – 2 vijiko vya chakula 🧂 Chumvi kidogo Viungo kwa Ice Cream Base 🥛 Maziwa ya mvuke (evaporated milk) – 1 kikombe 🍶 Cream nzito (heavy cream) – 1 kikombe 🍦 Vanilla extract – 1 kijiko cha chai 🍮 Caramel iliyotengenezwa (kutoka hatua ya kwanza) NAMNA YA KUANDAA 1️⃣ Kutengeneza Caramel Sauce Weka sukari na maji kwenye sufuria ndogo, koroga ili kuchanganyika. Pika kwa moto wa wastani bila kukoroga (unaweza kutikisa sufuria) mpaka rangi iwe kahawia ya dhahabu. Ongeza cream nzito kidogo kidogo, koroga haraka (kuwa mwangalifu, inaweza kufuka). Ongeza siagi na chumvi, kisha punguza moto na pika kwa dakika 1-2. Ondoa kwenye moto, acha caramel ipoe kwa dakika 15. 2️⃣ Kutengeneza Ice Cream Base Katika bakuli kubwa, changanya cream nzito, maziwa ya mvuke, vanilla extract, na sehemu kubwa ya caramel (hifadhi kiasi kidogo kwa mapambo)...