MAHITAJI NA VIPIMO
- Unga: 6 vikombe π
- Sukari ya kusaga: 2 vikombe π
- Siagi: 500 gm π§
- Baking powder: 1 kijiko cha chai π₯
- Kastadi: ½ kikombe π₯
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika:
- Koroga siagi π§ na sukari π katika mashine ya keki (cake mixer) mpaka iwe laini (creamy).
- Mimina mchanganyiko uliopiga kwa mashine kwenye bakuli.
- Tia unga π, baking powder π₯, na Kastadi π₯.
- Kata usanifu (design) unaopenda halafu panga kwenye sahani ya kupikia (baking tray).
- Pika (bake) katika oven moto wa 350°F π₯ kwa muda wa dakika 15 hivi, huku unazitazama
Enjoy vileja vyako baada ya kuoka! π₯°π
Maoni