Mahitaji
Biskuti (Digestive/Marie) – 200g
Cocoa powder – vijiko 2
Condensed milk – ½ kikombe
Siagi iliyoyeyushwa – vijiko 2 (hiari)
Whipping cream – 1 kikombe
Chocolate ya maziwa – 100g
Strawberry – 1
Whipped cream ya kupambia
Maelekezo
1. Saga biskuti, Changanya na cocoa, siagi, na condensed milk. Tengeneza mchanganyiko wa kufinyanga.
2. Sambaza mchanganyiko wako kwenye karatasi ya kuokea. Fanya mstatili.
3. Piga krimu yako hadi iwe nzito. Sambaza juu ya biskuti.
4. Kunjua roll kwa kutumia karatasi. Weka friji saa 1.
5. Yeyusha chokoleti. Mwagia juu ya roll. Rudisha friji dakika 15.
6. Kata, pamba na strawberry na cream. Tumikiaa
Maoni