NEWS

 



Member wapya karibuni kwenye group la Mapishi Zanzibar 


Karibuni kujumuika nasi kwenye fahari yetu ya utamaduni wa mapishi asilia na mapishi mbali mbali ya kigeni☘

Karbuni tujifunze na tupike pamoja kwa upendo πŸ₯°

Recipes zetu hutumwa kwenye channel, Page na group hili la Whatsapp 

Kwa wale wanohitaji recipes za nyuma wanaweza kuzifikia kupitia page ama channel yetu ya Whatsapp 


Page Swahilihttps://zanzibarmapishi.blogspot.com/

Page English: https://zanzibarrecipes.blogspot.com/


Channel:   https://whatsapp.com/channel/0029Vam7ymH0QeakPNyKBU2D


Group link:  https://chat.whatsapp.com/D9Ghv3NSHklDW1QC0aLWkp 

Maoni