π«π§ Chocolate Cheesecake Truffles
π Mahitaji:
π§ 200g cream cheese (iwe room temperature)
π° 1 & 1/2 vikombe oreo crumbs au cake ya chokoleti iliyosagwa
π« 200g chokoleti ya maziwa au nyeusi, iliyoyeyushwa
π¬ 1/4 kikombe sukari ya icing (optional – kama unapenda iwe tamu zaidi)
π¦ 1/2 kijiko cha chai vanilla extract (hiari)
π° Toppings (hiari): nazi, cocoa powder, karanga zilizosagwa, sprinkles
π§π½π³ Maelekezo:
1. Tengeneza mchanganyiko wa ndani:
Katika bakuli kubwa, changanya:
π§ Cream cheese
π° Oreo crumbs au cake crumbs
π¦ Vanilla na π¬ icing sugar (kama unataka tamu zaidi)
π Changanya kwa uma au mashine mpaka iwe kama donge laini linaloshikana.
2. Finyanga mipira:
Chota kiasi cha mchanganyiko, tengeneza mipira midogo.
Panga kwenye tray yenye karatasi ya kuokea (baking paper).
❄️ Weka frijini au freezer kwa dakika 30–45 ili zipate umbo.
3. Funika kwa chokoleti:
Yayusha π« chokoleti taratibu (double boiler au microwave).
Chovya kila truffle, tumia uma kuondoa ziada.
Rudisha kwenye tray.
4. Mapambo (optional):
Kabla chokoleti haijaganda, nyunyizia:
π° Karanga
π₯₯ Nazi
π« Cocoa powder
π Sprinkles
5. Gandisha:
❄️ Weka tena kwenye friji kwa dakika 20–30 hadi chokoleti igande kabisa.
π Vidokezo:
Tumia dark chocolate kwa contrast nzuri na cream cheese.
Truffles hizi huweza kudumu frijini kwa siku 5–7 (kama hazitaliwa haraka π).
Unaweza kutumia biskuti za digestive badala ya oreo kama unataka ladha nyepesi.
Maoni