VIPIMO VYA MKATE WA MAYAI
VIPIMO VYA MKATE WA MAYAI
Mkate
Mayai 12 π₯
Sukari 1/4 π¬
Unga 1/4 π
Baking powder 1tbsp π§
Hiliki na vanilla extract πΏπ¦
Mkate
Mayai 10 π₯
Sukari 1/4 π¬
Unga 1/4 π
Baking powder, hiliki na vanilla extract π§πΏπ¦
Mkate
Mayai 8 π₯
Sukari 1/4 π¬
Unga 1/4 π
Baking powder, hiliki na vanilla extract π§πΏπ¦
Mkate
Mayai 6 π₯
Sukari 1/4 punguza kidogo π¬
Unga 1/4 π
Baking powder, hiliki na vanilla extract π§πΏπ¦
KIDOKEZO
Ktk mkate wa mayai, ikiwa mayai ni 12 utatia unga vijiko vya kulia 12, km mayai 10 utatia unga vijiko 10, km mayai 8 utatia unga vijiko 8, na km mayai 6 utatia unga vijiko 6. β¨
For a good result, follow these instructions! π
Maoni