MATATIZO YA MUONEKANO WA KEKI π¨
MATATIZO YA MUONEKANO WA KEKI π¨
π SUALA LA 7: SEHEMU ZA JUU ZA KEKI HAZIKUPATA RANGI NZURI π
β
Keki haikuwekwa katikati ya oven π
β
Viwaya vya oven havipo sawa β hakikisha treya iko katikati βοΈ
π SUALA LA 8: KEKI IMEUNGUA π₯
β
Moto mwingi juu = imeungua juu πβ
β
Moto mwingi chini = imeungua chini π»β
MATATIZO YA NJE YA KEKI π
π SUALA LA 9: NJE YA KEKI IPO MAJI MAJI NA INANGβATA π«
β
Sukari au siagi/margarine nyingi sana π§π₯
β
Unga usiofaa kwa kuoka keki πΎ
β
Umeacha keki kwenye treya kwa muda mrefu β hamishia kwenye cooling rack! π
π SUALA LA 10: SEHEMU YA NJE YA KEKI IMETENDA GAMBA GUMU π
β
Moto wa oven ulikuwa mkubwa sana au mdogo sana π₯
β
Umezidisha sukari au mayai kwenye upishi π³
π SUALA LA 11: KEKI IMEPASUKA PASUKA JUU π¬
β
Moto wa juu ulikuwa mwingi ππ₯
β
Mchanganyiko ulikuwa mzito β ongeza majimaji kidogo π₯
MATATIZO YA NDANI YA KEKI π
π SUALA LA 12: SEHEMU YA NDANI YA KEKI IPO MAJIMAJI KAMA SIMA π΅
β
Sukari nyingi kupita kiasi π₯β
β
Keki haijaiva β acha kwenye oven kidogo zaidi β³π₯
π Sasa unaweza kupika keki bila matatizo! Kama bado kuna changamoto, niambie nikupe msaada zaidi. Happy baking! π°π¨βπ³
Maoni