JINSI YA KUPIKA MEATBALLS 🍽️
MAHITAJI 📝
✅ Nyama iliyosagwa 🥩
✅ Mazenga (Bread crumbs) 🍞
✅ Vitunguu maji na vitunguu swaumu 🧄🧅
✅ Mayai 🥚
✅ Pilipili kwa apendaye 🌶️
✅ Mkate 🍞
✅ Mafuta ya kupikia 🛢️
JINSI YA KUPIKA 👨🍳
1️⃣ Chukua kiasi cha nyama iliyosagwa unachopenda. 🥩
2️⃣ Loweka slice mbili za mkate kwenye maji kidogo. 💦
3️⃣ Changanya nyama na mkate uliolowekwa ili zishikane vizuri. 🍞🥩
4️⃣ Katakata vitunguu maji na vitunguu swaumu, kisha ongeza kwenye mchanganyiko. 🧄🧅
5️⃣ Koroga mayai vizuri. 🥚🔄
6️⃣ Tengeneza meatballs kwa kuzifinyanga kwa mikono yako katika umbo la mpira. 🏀
7️⃣ Chovya meatballs kwenye mayai uliyokoroga. 🥚
8️⃣ Pindua meatballs kwenye mazenga (bread crumbs) ili zipate ukoko mzuri. 🍞
9️⃣ Kaanga kwenye mafuta ya moto hadi ziwe na rangi ya kahawia (brown). 🔥🍳
🔟 Toa kwenye mafuta, acha zipowe kidogo, kisha zitumikie. 🍽️😋
👉 Furahia Meatballs zako na kachumbari au sauce upendayo! 😍🍛

Maoni