JINSI YA KUPIKA KAIMATI
JINSI YA KUPIKA KAIMATI/KALIMATI
MAHITAJI
🟠Ngano vikombe v4 yani nusu
🟠Maziwa yauga vijiko v4
🟠Maziwa ya maji kikombe k1 na nusu/ tui la nazi
🟠Hamira kijiko k1
🟠Sukari kikombe k1
🟠Vanila kijiko ki1
🟠Radha ya maziwa kijiko cha chai
🟠Yai 1
🟠Hiliki kijiko k1
🟠Maziwa mgando
🟠Baking p kijiko cha chai
🟠chumvi kijiko cha chai
Namna ya kuanda
Chuja unga wako vizuri
Weka hamir,chumvi,sukari,yai,maziwa mgando,maziwa ya unga,baking powder na yai changanya vyote kwa p1
Weka maji
Anza kuchanganya kwa kuupiga piga mpaka ulainike vzr
Funika vzr kwa muda wa lisaa li1 uumuke
Bandika mafuta jikoni kwa moto mdogo dogo anza kuweka kalmati zako kor oga ili kupata rangi inayo fanana
Kama unavyoona kweny video
Namna ya kuandaa shira
Weka maji kikombe ki 1kweny sufulia weka sukari na hiliki
Bandika jikoni uku ukiikoroga mpk ianze kutoa povu na kua nzito inayo nata
Kama unavyoona kwenye video
Imimine kwenye bakuli ulilo weka kalmat zako na anza kuzikoroga uku ukizizungusha
Ziweke kweny upepo zipigwe hewa sukari yako ikauke
Note: kama unataka shira yako isiwe yakukauka kweny kalmat basi isiive sana ikawa nzito yakunata itoe ikiwa na uwepes ilioiva.
Maoni