Jinsi ya Kufanya Nyama Ngumu Iwe Laini π₯©π
Je, nyama yako huwa ngumu baada ya kupika?
Hizi ni mbinu zitakazokusaidiaππππ
✅ Tumia papai lililosagwa au ndimu kama tenderizer ya asili.
✅ Chemsha nyama kwenye maji yenye chumvi kidogo kwa dakika 15 kabla ya kupika.
✅ Marinate nyama kwa muda mrefu (angalau masaa 2) ili kuipa ladha na ulaini.
π‘ Hakikisha nyama yako inakuwa laini na tamu kila unapopika!
π£ Una njia zako za kulainisha nyama? Shiriki nasi kwenye comments!
Maoni